
Mamba aliekua akiishi katika
ziwa
Victoria mwenye umri wa
miaka 80, mwenye uzito
unaokadiriwa kukaribia tani
moja amekamatwa katika ziwa
Victoria upande wa Uganda ni
baada ya wananchi kulalamika
kuhusu mamba huyo anaekula
watu, huku akikadiriwa kuwa
ameshakula watu wasiopungua
sita mpaka kukamatwa kwake ..Tazama picha zingine hapa chini...

watu wengi kutoka kijiji cha
kakira walifika kushuhudia
mamba huyo akitolewa majini,
huku wakiwa na nyuso za furaha
na wengi wakipiga picha

Mamba aliekua akiishi katika
ziwa Victoria mwenye umri wa
miaka 80, mwenye uzito
unaokadiriwa kukaribia tani
moja amekamatwa katika ziwa
Victoria upande wa
Uganda ni
baada ya wananchi kulalamika
kuhusu mamba huyo anaekula
watu, huku akikadiriwa kuwa
ameshakula watu wasiopungua
sita mpaka kukamatwa kwake
watu wengi kutoka kijiji cha
kakira walifika kushuhudia
mamba huyo akitolewa majini,
huku wakiwa na nyuso za furaha
na wengi wakipiga picha
Mtu wa mwisho kuliwa na
mamba huyo ni mzee mwenye
watoto wawili ambae ni mvuvi
wa samaki ambae nguo zake
zilionekana zikielea katika mto
huo huko Uganda.
SOURCE: kitaani bongo news
0 comments :
Post a Comment