Katika hali iliyopo katika maisha ya kawaida kua
siku zote ukiwa na maendeleo lazima vikwazo vitakua vingi sana...hayo
yameonekana kumkuta star kutoka Uganda..Dr. Jose Chameleon na kumpelekea
kuandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa facebook..tazama hapa chini.
DR. JOSE Chameleone
I
have a problem, I need to express to my friends and fans, a lot of
barriers built in my way are meant to challenge who I am. Forgetting
that I am only just tying to be better than the Chameleone we have
today. I truthfully confess I am not trying to block any being from
being, I am trying to be better than Who I am today and tomorrow. Much
love to those who believe that everyone the sun rises we face new
challenges that when we overcome them we are better.
TUBONGE#
0 comments :
Post a Comment