Hii ndo faida ya kufanya vizuri kwenye muziki…
Wasanii mapacha kutoka Nigeiria maarufu kama P-SQUARE wameonyesha ni jinsi gani
muziki unalipa Baada ya PETER Okoye Kushea picha akiwa na Pacha wake “Paul” katika nyumba yao
iliyozungukwa na vitu vya thamani..
Peter alipost picha hiyo na kuambatanisha na maneno
haya…#2kings…… Work hard, play harder.”
Cheki picha zingine hapa chini..
0 comments :
Post a Comment