William masnivu Kutoka Zambia ameibuka mshindi kwa
mara ya pili mfululizo baada ya kuwashinda wenzake 11 katika mashindano ya kumtafuta mtu mwenye
sura mbaya zaidi Zimbabwe..endelea hapa chini...
Ameiambia mtandao mmoja wa Allafrica.com kua ubaya
wake ni asili yake na hakujiandaa kwa ajili ya show ila amefanikiwa kutoka na
ushindi..
Manager wa William ‘’ Michael Gumbo” aliongezea na
kusema kua mavazi yake na ubunifu wake ndo ulompatia ushindi japo alifanya kwa
kiwango cha chini sana…
Katika ushindi huo William amejishindia ada ya mwaka
mzima kwa ajili ya kumsomesha mwanae mmoja..
0 comments :
Post a Comment