Wednesday, 2 October 2013
TAZAMA PICHA 5 ZA NAKAAYA ALIVYOANIKA TUMBO LAKE..
Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva ambaye pia ni dada wa aliyekuwa Miss Tanzania 2005,Nancy Sumari,Nakaaya Sumari amepost picha mbalimbali mtandaoni akiwa na ujauzito ambao unaonyesha atajifungua muda wowote kutokana na ukubwa wake... mcheki hapa..
Watu mbalimbali wamempongeza Nakaaya na kumtakia kila la heri na ajifungue salama huku yeye mwenyewe akiandika Sasa huku ndio kuchoka...
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment