Derek Nance ni kijana kutoka Lexington,
Kentucky, U.S amekula nyama mbichi kwa mda wa miaka mitano iliyopita baada ya
kuugua ugonjwa uliompelekea kutengeneza appetite ya kupenda daamu za
wanyama..Derek alisema hata wakati wa kusukutua hutumia nyama mbichi.. pia
aliongezea kua hajawai kuugua kwa kutumia nyama hizo na hajiskii kabisa kula
nyama iliyopikwa na kusema huwa asikii ladha yake na kuhusi ni nyama tu
iliyochomwa... mcheki hapa..
Msosi uko mezani
Derek na Mpenzi wake
0 comments :
Post a Comment