Ni Takribani siku moja toka Rais Uhuru Kenyata kuhutubia na kusema kua kenya haitatoa majeshi yao nchini somalia..Al shabaab wamejitokeza na kusema kua watamfundisha somo ambalo
hatosahau..
Katika statement iliyotolewa jumatano.. Wanamgambo wa Al shabaab wamesema ya kua hotuba aliyotoa Rais Uhuru Kenyata ni dhahiri kua hajajifunza somo kutoka shambulizi lililotokea westgate Mall..
pia waliongeza kua kutokana na kauli hiyo kenya wamekaribisha umwagaji damu, na uharibifu nchini humo..
walisema watailipua kenya na kuigeuza sehemu ya makaburi na wataendelea na umwagaji damu..
“We will strike Kenya where it hurts the most, turn their cities into graveyards and rivers of blood will flow in Nairobi”
Source:africanewspost.com
0 comments :
Post a Comment