Thursday, 26 September 2013
TAZAMA PICHA JINSI "LULU" ALIVYOFUNGUKA KWA JUSTIN BIEBER
STAA wa filamu za Kibongo,Elizabeth Michael'Lulu'ameonyesha kuwa ana mapenzi ya dhati kwa
mwanamuziki asiyeisha vituko wa nchini Marekani Justin Beaber,baada ya kupost picha inayomuonyesha kuwa mwanamuziki huyo amebeba picha ya Lulu.
Baadhi ya mashabiki walitoa maoni yao huku wengine wakimpa moyo wakimwambia kuwa dreams come true na wengine wakimvunja moyo kwa kumwambia haiji kutokea.
Lulu aliandika ..utani wote tufanyeni ....lakini huu...tutatoana roho jamani..khaa!!!
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
2 comments :
ndoto za mchana hizoo
Aachwe serena Gomez....ufwatwe wew ucie jua hata kuoga......hebu acha ndoto za mchana
Post a Comment