Tangu Nemanja Vidic alipotangaza rasmi
kwamba msimu ujao hatokuwepo Old Trafford msimu ujao, kulianza tetesi
juu ya mchezaji gani atapewa nafasi ya kurithi mikoba ya unahodha ya
Vidic.
Nimeambiwa kuwa kwa sasa kuna watu wa nguvu kibao wanaenda
Samunge,Loliondo na kinachowapeleka sio ishu ya Kikombe cha babu tena
sasa hivi ni madini ya dhahabu ambayo inasemekana yamegundulika eneo
hilo.
Homa ya kombe la dunia inazidi kupanda zikiwa zimebaki takribani wiki
zipatazo nne kabla ya michuano hiyo haijaanza kutimua vumbi kwenye
viwanja tofauti nchini Brazil. Timu zote 32 tayari zimeshatangaza vikosi
vyao kwa ajili ya michuano hiyo.
inawezekana ikawa si mara ya kwanza kusikia habari za wasanii
kulalamika kuhusu kuvuja kwa nyimbo zao,Diamond Platnumz nae ana
malalamiko yake juu ya hili na hii ni baada ya siku ya leo kusambaa kwa
wimbo wake unaoitwa Kitorondo ambao yeye hajautoa lakini kashangaa
kuukuta kwenye mitandao ya kijamii.
Unaweza ukaficha siri na
ukaamini hakuna atakayejua bila kukumbuka kuwa hakuna siri ya watu
wawili! Hatimaye Wema Isaac Sepetu amenasa ushahidi wa aliyekuwa
rafikiye kipenzi, Kajala Masanja wa kumwibia aliyekuwa bwana’ke, Clement
au CK, yule kigogo wa ikulu..endelea hapo chini...
Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya viongozi
wanaozozana nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi
Riek Machar, yanatarajiwa kuanza tena mjini Addis Ababa Ethiopia.
Marekani inasema kuwa haina matumaini kuwa mazungumzo ya leo yataweza kuleta mafanikio yoyote.
Msanii maarufu na kipenzi
cha wengi nchini Nigeria David Davido Adeleke, ametoa malalamiko yake
katika mtandao wa kijamii instagram jana kuwa hakupendezewa na kitendo
walichomfanyia idara ya uhamiaji nchini Lagos Nigeria, baada ya
kumsababishia kukosa ndege aliotaraji kupanda
Ni longtime mwigizaji Mtanzania Jaqueline Wolper amekua kimya na
hajasikika akiyatoa ya moyoni kuhusu yote yaliyompata kwenye miezi
iliyopita na kumfanya amiliki sana headlines za magazeti, blogs, website
pia facebook na twitter huku wengi wakiwa na hamu ya kusikia
akiyaongelea.