inawezekana ikawa si mara ya kwanza kusikia habari za wasanii
kulalamika kuhusu kuvuja kwa nyimbo zao,Diamond Platnumz nae ana
malalamiko yake juu ya hili na hii ni baada ya siku ya leo kusambaa kwa
wimbo wake unaoitwa Kitorondo ambao yeye hajautoa lakini kashangaa
kuukuta kwenye mitandao ya kijamii.
Kupitia Akaunti yake ya Instagram ameandika kuhusu wimbo huo ambao
nyimbo kadhaa za Diamond akitangaza kuvuja kwa wimbo huo ambaye hata
yeye kashangazwa na hali hiyo huku akisisitiza kuwa iliyotoka haikua
imekamilika,huu ndiyo ujumbe alioandika Diamond.
0 comments :
Post a Comment