Friday, 9 May 2014
HIZI NDIZO LAWAMA ALIZOTOA DAVIDO KUHUSU AIRPOT IMMIGRATION....
Msanii maarufu na kipenzi cha wengi nchini Nigeria David Davido Adeleke, ametoa malalamiko yake katika mtandao wa kijamii instagram jana kuwa hakupendezewa na kitendo walichomfanyia idara ya uhamiaji nchini Lagos Nigeria, baada ya kumsababishia kukosa ndege aliotaraji kupanda
kuelekea LONDON kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki, inasemekana kuwa chanzo cha maafisa hao kumkwamisha Davido mpaka kumchelewesha kuwahi kupanda ndege yake aliotakiwa kuondoka nayo ilikua ni Rushwa ambayo imewatesa watu wengi na hasa wa airports nchini Nigeria.
Davido aliandika maneno haya katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii instagram baada ya kukumbana na tatizo na safari yake kushindikana.
“missed my flight to London! pissed! F*ckin immigration officers always harassing me because of money!! F*ck ni*gas.”..
CREDIT: gongamx.com
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment