Kwa tulio wengi tungemkimbia au kushindwa kumsogelea
wala kumgusa lakini Papa Francis ameonyesha Love kwa Mtu huyu mbaye amejaa upele
mwili mzima kwa kum-busu huku kumuombea..
haya yametokea jana kanisani huko Roma wakati papa alikua akiwaombea waumini
waliokuja kanisani hapo…Tazama picha hapa chini..
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment