Mshiriki kutoka kenya aliekua akibeba taji la nchi hiyo katika mashindano ya Big Brother "ANNABEL" ameyaaga mashindano rasmi usiku wa leo baada ya kuchaguliwa na wenzake... ANNABEL ni kati ya washiriki ambao wamekua nominated mara nyingi katika jumba hilo..
ANNABEL ambaye ana degree mbili amedai ya kwamba anafurahi kurudi nyumbani lakini cha muhimu anaenda kujikita na masomo ya ngazi a juu zaidi(master)...
Mshiriki mwingine aliyaaga mashindano hayo pia ni SULU kutoka zambia
The Wanted's Max George has pacemaker fitted
24 minutes ago
0 comments :
Post a Comment