Rais wa wasafi na kipenzi cha walimbwende "diamond platnumz" kama ilivyo kawaida yake ametoa picha zingine akiwa na ndugu yake wa karibu romeo jones enzi za utoto wao...
hii ndo picha alotoa diamond platnumz akiwa na nduguye wa karibu wakiwa kwenye baiskeli za watoto enzi hizo..
Romeo akiwa kama dereva na diamond wa katikati......
picha nyingine alowahi kutoa Diamond ni hii hapa chini........
source: millardayo.com
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment