Ni siku
kadhaa zimepita toka taarifa itoke kwenye mitandao kadhaa ya nchini China
kuhusu binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 akamatwe na dawa za kulevya
zenye thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani laki moja huko Macao China ambapo
vyombo kadhaa vya Tanzania vimeripoti kwamba binti huyo anadaiwa kuwa Jackie
Cliff ambae amewahi kuonekana kwenye video kadhaa za wasanii wa Kitanzania.
Kifuatacho
ni kilichoandikwa na RayC, mwimbaji wa Kitanzania ambae katika stori zake kubwa
za maisha ni pamoja na kuingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya uliompoteza
kabisa kwenye muziki na ramani ya maisha mpaka kufilisika.
0 comments :
Post a Comment