Katika
fani ya modeling kwa sasa inaonekana kufifia nchini, Yote ni kutokana na
kutopewa nguvu kwa vijana wetu wa kitanzania ambao hujihusisha katika fani hii.
Pamoja
na hilo katika fani hii kuna vigezo ambavyo wengi wa vijana hawa (models) huwa hawavizingatii
katika kujihakikishia kwenye fani yao hiyo Baadhi ya vigezo hivo ni..
BODY
STRUCTURE:
APPEARANCE:
Hapo juu ni kijana ambaye kwa upande mwengine ana
muonekano mzuri wa kufanya kazi hii ya modeling lakini kama ilivyo kwa vijana
wengine wa kitanzania ambao vipaji vyao hua havina mgunduaji au mwendelezaji
kabisa na hivyo kupelekea kuzikuza kazi na vipaji kutoka nje ya nchi pasipo
kuendeleza vijana wa kitanzania na kutambua mchango wa wale wachache na
kuwakuza ili nao kufikia level za juu kama ilivyo kwa nchi nyengine za ULAYA.
namba zetu hapo juu…
0 comments :
Post a Comment