Tuesday, 5 November 2013

TAARIFA MUHUIMU KWA WANAKAMATI WALIOFANIKISHA MSIBA WA ALBERT MANGWAIR



Wanakamati wote ambao walifanikisha mazishi ya ndugu yetu marehemu Albert Mangweha aka CowBama mnataarifiwa kufika kwenye kikao kitakachofanyika siku ya
Jumamosi tarehe 9.11.13 saa 9 alasiri pale Leaders Club Dar es Salaam. Mnaombwa wanakamati wote mfike siku hiyo kuna jambo muhimu lakuongelea, ukipata ujumbe huu mtaarifu mwanakamati mwenzako..
Djchoka.blogspot.com

0 comments :

Post a Comment