Tuesday, 12 November 2013

MTU HUYU AUZA KORODANI YAKE KWA DOLA 35,000..



 
Mark Paris wa Las Vegas anampango wa kuwauzia Wachunguzi(Researchers) moja ya korodani yake kwa kwa ghar ama ya dola 35,000 ili kutumiwa na wachunguzi hao katika majaribio yao…endelea hapa chini.....

Mark atatoa moja ya korodani yake kwa timu hiyo ya wachunguzi na atawekewa korodani ya bandia kwenye mwili wake…
Issue nzima itachukua takribani wiki mbili na baadae Mark atakua tajiri mwenye Korodani moja..
Mark alisema ya kua amekubali kutoa korodani yake kwa ajili ya kupata pesa na kuongeza kua amekua akijitolea katika maswala mengi yanayotokea huko Nevada..

0 comments :

Post a Comment