STAA wa Bongo Fleva Rahim Nanji’Bob
Junior’amefunguka kuwa ataendelea kumuheshimu mke wake Halima ally ambaye
amezaa naye mtoto mmoja wa kiume hata kama wameachana..endelea kusoma hapa...
Akifunguka kupitia mtandao wa instagram alisema kuwa
….leo tena jamani hakuna habari nyengine hata kama nimeachana nae kanizalia
napaswa kuwekewa heshima mwanangu akija kuwa mkubwaa nita mwambia nini mimi
inaniumaa bob junior tuu akilala akiamkaa ni bob junior kila sehemu…
Huku akipost sehemu ya gazeti la Amani iliyotoa stori
hiyo huku habari kutoka kwa rafiki wa karibu na Bob Junior zinasema kwamba,
ndoa hiyo ilivunjika muda mrefu lakini wahusika walikuwa wakifanya siri lakini
Amani limeinasa.
Source:Teentz.com
0 comments :
Post a Comment