Ikiwa ni kwa wasanii wachache sana
wenye mapenzi ya kweli kwa wenzie Lulu Michael aonyesha upendo wa dhati
na kumwaga sifa kedekede mwanadada Jokate Mwegelo. Kupitia akaunti yake
ya instagram Lulu Michael au Hotlulumichael au Elizabeth Michael
aaamua kufunguka na kusema haya kuhusu jokate .
cheki alichokisema hapa...
0 comments :
Post a Comment