Mchezaji bora wa Africa
mara Tatu “ Samuel Eto’O wiki chache zilizopita ametumia paundi million 4
kununua magari manne makali..endelea hapa chini...
Alinunua
Bugatti Veyron (Pauni mill 1.55) ambayo alipelekewa moja kwa moja katika uwanja
wake wa mazoezi huko Chelsea,,
Pia amenunua
gari aina ya Aston Martin One -77 yenye garama ya paundi mill 1.25,, akanunua
Maybach Xenatec (paundi 750,000) na Aston Martin V 12 Zagato kwa paundi 450,000…
Mchezaji huyu
raia wa Cameroon amekua akipenda sana magari na kutumia gharama kubwa
kuyanunua, lakini swali linalokuja ni vipi mtu mmoja anaenda kufanya nn na haya
magari yote??
Eto’O
Alisema: anapenda kua na magari machache kwakua ana kua na uhuru wa kuchagua na
pia haimuumi mtu,..kwahiyo, ili kuwafurahisha watu lazima mtu mmoja awe na
furaha
Bugatti Veyron (Pauni mill 1.55)
Aston Martin One -77
Maybach Xenatec (paundi 750,000)
0 comments :
Post a Comment