Katika pita pita yangu katika blogs nimekutana na ujumbe huu wa Diamond Platnumz akimlalamikia mtu aliyevujisha ngoma yake...cheki ujumbe hapa chini..
Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia
wala Kunidhuru chochote... Sanasana utanizidishia
Umaarufu na kunipa Show zaidi... Kama nimeacha kurecord nyimbo
Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine
Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi...
.ila Kuvujisha Unajisumbua bure!
Hisia zangu za pelekea kuandika haya nikiwa na uzuni
ndani yake kwa kuwa muda nilioutmia na akili nliotumia
dhairi ni Mungu Pekee anajua ndio Maana aina budi
namwachia Mungu pia....Imani iliyo ndani yangu nikiamini
kuwa kutoa ya Moyoni uufanya Moyo kujengeka
Upya,Mwenyezi Mungu Atanijenga Upya na kuwaandalia kitu kipya hiv
karibun.Hii ni changamoto kwangu na Kuweza
kujua sheria na katiba za Muziki wangu na
kusimamia Haki zangu...... Nawapenda Sana Mashabiki Zangu....
0 comments :
Post a Comment