Friday, 11 October 2013

BAADA YA BLOG MOJA KUPOST PICHA ZA LISSA ZA KIMTEGO.. HIVI NDIVYO ALIVYOFUNGUKA.

cheki alichokisema hapo chini...



  1. JAMANI NAPENDA NIWAOMBE RADHI MASHABIKI WANGU KWA KILE KILICHOTOKEA JANA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KWA KUSAMBAZWA PICHA ZINAZOSEMEKANA NI ZA KWANGU
    KIUKWEKI MIMI SIKUWA NA TAARIFA MAANA TANGU JANA NILIKUWA NDANI NIMELALA MAANA NINASUMBULIWA NA KICHWA NA SIMU YANGU NIIZIMA HIVYO SIKUWA NA MAWASILIANO SAHIZI MUDA HUU WAKATI NAINGIA HUMU FACEBOOK NIKAPOST PICHA YANGU GHAFLA NIKAANZA KUONA RAFIKI ZANGU WANACOMMENT PICHA HIYO KWA KWA KUNIDHARAU BILA KUJUA IKABIDI NIULIZE KWA KUCOMMENT KWAMBA KULIKONI NIPO NIKAAMBIWA KUWA KUNA PICHA ZANZU ZIMETAPAKAA KATIKA MITANDAO IKABIDI NIOMBE LINK ILI NIZIONE NDIPO NIKAZIKUTA KATIKA BLOG YA www.luckyjurnior.blogspot.com
    KIUKWELI NILISHANGAA KUZIKUTA BAADHI YA PICHA KUWA NI ZANGU KWELI NA NYINGINE SI ZANGU KWAMAANA ZIMEPOSTIWA KATIKA AWAMU TATU TOFAUTI .
    CHANZO CHA MSAMBAZAJI WA PICHA HIZI BADO NAMFUATILIA MAANA HAPA KAMBINI KWETU HUWA TUNAISHI KWA PAMOJA NA RAFIKI ZANGU WA KIKE ILA KIUKWELI ........NAHITAJI MNISAMEHE MA FANS WANGU KWA HILO NA UCHUNGUZI BADO NAENDELEA NAO

1 comments :

Anonymous said...

bado sababu hazijajitosheleza

Post a Comment