Thursday, 14 August 2014

DIAMOND PLATNUMZ AIJIBU TEAM WEMA BAADA YA KUDAI ANAMPOTEZA WEMA...

Baada ya Team wema kuanzisha movement iliyokua na jina #bringbackourwema ikiwa inamshutumu Diamond platnumz kua anampoteza wema..Diamond Platnumz aamua kujibu...Tazama Hapa..

Monday, 4 August 2014

NEW AUDIO: KIBAJA MGOSI - NAWAKAZIA

Baada ya kutoka na Ngoma "Amsha Amsha" sasa msanii kutoka Tanga "Kibaja" amekuja na hii hapa..Download na.kusiliza hapa.chini..