Ni siku
kama tano zimepita toka ubalozi wa Tanzania nchini China usema hauna taarifa
zozote za kukamatwa kwa Mtanzania Jackie Cliff huko China na kwamba Watanzania
wa mwisho kukamatwa ilikua December 2013 na walikua Wanaume.
Saa kadhaa
zilizopita msanii Jux ambae amekua akitajwa kuwa mapenzini na Jackie, amepost
maelezo pamoja na picha ambayo inaonekana inaonekana ameongea na Jackie
kwa
kupitia mtandao wa Skype.
Msanii wa
kundi la Wakacha Juma Jux kwenye account yake ya instagram amepost hiyo picha
hapo juu na kuandika,”HAPPY BIRTHDAY MAMIE Was good talking to you and i am so
happy kuwa sababu ya tabasamu lako words can’t explean wat u mean to me only
god knows. today is your day HBD my lv”
0 comments :
Post a Comment