HIZI NDIZO MALI ANAZOMILIKI EMANUEL ADEBAYOR..KUNA PICHA ZAIDI YA 10 HAPA...
Emanuel Adebayor ni kati ya wachezaji matajiri
duiani..mchezaji huyo raia wa Togo ameonyesha baadhi ya mali anazomiliki ikiwa
ni pamoja na ndege , magari na ana nyumba zilizopo Togo, Ghana, Uk pamoja na
USA..hebu zitazame hapa chini…
0 comments :
Post a Comment