Monday, 11 November 2013

HAWA NDIO MAASKARI TRAFIKI WAREMBO ZAIDI KENYA.. TAZAMA HAPA..




Yasmin Abdi wa Juja Police Station
 Katika pita yangu mitandaoni..nimekutana na habari ikidai hawa ndio baadhi ya Maaskari wazuri nchini Kenya…na Madereva wengi wamedai kutekwa na Uzuri walionao Maaskari Trafiki hao.. Tazama Picha za wengine hapa chini…

 
Judy Chemutai wa Nairobi Area
 
Elizabeth Resa wa Parliament buildings 
 
Jeniffer Mulwa wa Nairobi Area 1 
 
Zidi Yusuf wa makao makuu ya polisi

Source: 
standardmedia 

0 comments :

Post a Comment