Saturday, 16 November 2013

BAADA YA UKIMYA WA WIKI MBILI, WEMA SEPETU WEMA SEPETU AANDIKA UJUMBE HUU KWA MASHABIKI WAKE..



wema sepetu ameoneka akipost kitu kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii baada ya muda mrefu toka msiba wa baba yake ulipotokea hivi karibuni.
Katika post hiyo Wema amewataka “Teamwema” wapunguze jazba juu yanayotokea juu yake na kuwasihi kuwa wapunguze kutumia lugha ya matusi kwenye mitandao hiyo maana wanamuumiza ‘madame’..tazama alichokisema hapa...


0 comments :

Post a Comment