Big sean na girlfriend wake Naya Rivera wanatarajia kuoana hivi karibuni...wawili hao walianza mapenzi
miezi sita iliyopita na walikutana twitter na kuanza uhusiano wao..wawili hao hawajaweka ni siku gani watafunga ndoa rasmi ila tunahisi itakua ni moja ya miujiza..
0 comments :
Post a Comment