Katika Magazine moja ya New york , Madonna amefunguka kuhusu maisha yake ya zamani ndani ya jiji la
new york..Madonna amefunguka na kusema kua alibebewa kisu na kubakwa alipokua akianza kazi zake za kimuziki miaka mingi iliyopita..
Nguli huyo wa POP aliyekua Rochester, Michigan amesema alipokua akienda New York katika Miaka ya 19970 hakua na safari nzuri baada ya kukutana na majanga huko New York..
Madonna aliongeza na kusema kua Alinyooshewa Bastola na kubakwa juu ya jengo huku wakimtishia kwa kisu mgongoni mwake..pia alivunjiwa nyumba aliyokua akiishi mara tatu na hakua na kingine cha kuthamini baada ya kuibiwa Radio yake...
Madonna alisema anashukuru amebarikiwa kua na watoto wanne na mpaka sasa bado anaishi New York
0 comments :
Post a Comment