Baby Madaha ambaye hivi sasa yupo chini ya record label ya Candy n Candy ametoa picha ambazo zinamuonyesha akiwa kwenye gari ambalo amepewa na record label hiyo ambapo according to Baby ni
kwamba hili gari ambalo alikuwa anaendesha Mr Nice kipindi kile, sasa hivi amepewa yeye ikiwa ni sehemu ya mkataba wake.…Cheki picha za gari hilo hapa:
0 comments :
Post a Comment