Friday 4 October 2013

RAPA BIG SEAN KUOA HIVI KARIBUNI...TAZAMA STORY HAPA..

Big Sean getting married
Big sean na girlfriend wake Naya Rivera wanatarajia kuoana hivi karibuni...wawili hao walianza mapenzi
miezi sita iliyopita na walikutana twitter na kuanza uhusiano wao..wawili hao hawajaweka ni siku gani watafunga ndoa rasmi ila tunahisi itakua ni moja ya miujiza..

0 comments :

Post a Comment