Wednesday 9 October 2013

BAADA YA KUPOST PICHA ZA UTUPU... HUDDAH AMEFUNGUKA NA KUTOA YA MOYONI..


Siku Chache baada ya kupost picha ya utupu katika mtandao wa Instagram na mda kidogo baadae akaitoa..Aliyekua Mshiriki kwenye Shindano La BBA The chase kutoka Kenya 'HUDDAH'ameamua kujibu
yale yote yaliyosemwa ikiwa ni pamoja na kuitwa Malaya.
Hizi ni baadhi ya Tweets walizoandika baadhi ya watu wakimuita yeye ni malaya..
 
Baadae HUDDAH aliandika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram...

For the lovers, I love you and the rest , The son or a daughter of a whore knows a whore. If you call me a whore.your mother, or father is a whore too. Its levels in this bitch! I dont give a fuck if u abuse my family too, I dont give a fuck but gotta abuse you bastards too. Mtoto wa malaya,anajua malaya. Kwa hiyo,mamako au babako malaya ndo manake!

Hebu angalia baadhi ya picha hizo then utupe maoni yako..


1 comments :

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.

Post a Comment