Wednesday, 9 October 2013
CHRIS BROWN AKASIRIKA NA KUWATOLEA MANENO MACHAFU WATU HAWA MAARUFU...SOMA HAPA..
Chriss Brown amekasirika baada ya blogger Maarufu "Perez Hilton" kumuongelea kuhusu kupoteza ubikra wake akiwa na umri wa miaka 8 hadi 14..Perez Aliyasema hayo katika show ya Wendy Williams.. endelea hapa chini...
Perez alisema : "Chris Brown has a disease and the disease is, he has half a brain. He doesn't have a grasp of reality"
Chriss Brown alikasirishwa na Maneno hayo na baadae kuandika maneo haya kwenye Twitter akimuita Perez malkia ambaye siku zote yuko kwenye siku zake na kumuita Wendy ni Mchawi...
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment