Mwigizaji mkongwe nchini Ulimboka Mwakilasa
al-maarufu kama “Senga” amenaswa laivu na kamera ya mdau mmoja
akishangaa laivu mzigo (wowowo) la mwanadada Agness Masogange wakati wakishoot
filamu mpya ya mwanadada Nisha ambayo mwigizaji huyo ameshirikishwa. Tazama
picha nyingine hapa chini...
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment