Prezo yaonekana amepata demu mpya ambaye ni
mfanyabiashara kutoka Tanzania…Prezo amekua akipost picha akiwa na demu wake
huyo katika page yake ya instagram..huyo msichana anaitwa Tillya na alikua pia
anamiliki blog moja(ambayo jina kamili hatujalipata bado)..Inasemekana uhusiano
kati ya wawili hao umeanza miezi miwili iliyopita..Tazama picha zingine hapa..
UK borrowing hits highest December level for four years
34 minutes ago
0 comments :
Post a Comment