Kuna baadhi ya maneno,vitendo majina ama
taasis,vinakuwa na ishara zake zinazotoa maana ya neno ama kitu husika,mfano.Ukionyesha ishara ya vidole viwili
unamaanisha
amani.Diamond nae amekuja na
ishara yake ya vidole inayotambulisha kampuni yake ya WASAFI ama WCB.
kuna picha anaonekana anaonyesha ishara
ya vidole vitatu,vikisimama badala ya W(WCB)..
Diamond na mmoja wa member wa WCB anaefahamika kama
Kifesi,wakionyesha ishara ya vidole vitatu,W(wcb)
0 comments :
Post a Comment