STAA wa filamu za Kibongo,Elizabeth Michael'Lulu'ameonyesha kuwa ana
mapenzi ya dhati kwa
mwanamuziki asiyeisha vituko wa nchini Marekani
Justin Beaber,baada ya kupost picha inayomuonyesha kuwa mwanamuziki huyo
amebeba picha ya Lulu.
Baadhi ya mashabiki walitoa maoni yao huku wengine wakimpa moyo
wakimwambia kuwa dreams come true na wengine wakimvunja moyo kwa
kumwambia haiji kutokea.
Lulu aliandika ..utani wote tufanyeni ....lakini huu...tutatoana roho jamani..khaa!!!
2 comments :
ndoto za mchana hizoo
Aachwe serena Gomez....ufwatwe wew ucie jua hata kuoga......hebu acha ndoto za mchana
Post a Comment