Baada
ya kutoka kwa kazi mpya ya Lucci na Jokate' Kaka Na Dada' Pamekuwa na
maneno
mengi mtaani kuwa wanamahusiano ya zaidi ya urafiki na kikazi.
Well ukitazama video yao ni rahisi kuwa na fikra hizo ila ile ni kazi tu
na video ni kuigiza tu. Sio kila tendo tunaloliona kwenye video ni
kweli.
Leo kupitia Instagram yake Jokate amesema yote, Yako Hapa
0 comments :
Post a Comment