Mkali kunako gemu ya muziki wa bongo fleva "Ney wa Mitego" amedai ameanza kupokea vitisho mara baada ya kuachia ngoma yake mpya inayoitwa " Salam Zao", katika baadhi ya mistari ya wimbo huo Ney amesikika akisema "nani nimtume kuzimu, afikishe salam kwa kanumba na ngwea awaambie yalotokea, kwenye misiba yao kuna watu wamepiga ela na kusema kua anawajua kwa majina wakizingua atawataja"
Ney wa Mitego(True Boy)
juzi katika akaunti yake ya instagram Ney alitoa picha zikionesha Sms alizokua akitumiwa na watu hao na kusema kua hizo ni baadhi ya Sms na atazitoa zingine baadae . cheki na sms hapo chini
leo katika kipindi cha XXL kinachoendeshwa na clouds Fm Ney amesema tayari anawajua watu wawili na wakiendelea atawataja
UK borrowing hits highest December level for four years
35 minutes ago
0 comments :
Post a Comment