Akaunti ya Facebook ya Mtanzania anayecheza ligi ya kikapu marekani(NBA) , "Hasheem thabeet" imekua verified...
Hasheem aliandika maneno haya baada ya akaunti yake kuwa verified
, "AISEE MMETISHA KINOMA, SHUKRANI SANA. THANKS FOR THE LOVE
EVERYBODY ON MY FACEBOOK PAGE. PAMOJA SANA. STAY BLESSED 😎".
No comments:
Post a Comment