Thursday, 27 February 2014
NEW AUDIO: SHETTA feat DIAMOND PLATNUMZ - KEREWA
Shetta ameachia wimbo mpya unaoitwa 'Kerewa',aliomshirikisha Diamond Platinumz,wimbo umetayarishwa na Sheddy Clever.
Wednesday, 26 February 2014
HUU NDIO UJUMBE WA DIAMOND PLATNUMZ KWA WASANII WANAOMCHAFUA....
Diamond Platnumz ameandika ujumbe kwa kile alichodai ni kusemwa vibaya na wasanii wenzake... Diamond aliandika Hivi...
Tuesday, 25 February 2014
TAARIFA KUHUSU DAKTARI FEKI ALIYEKAMATWA MUHIMBILI LEO..
Leo February 25 Uongozi wa hospitali
ya taifa muhimbili kwa kushirikiana na maafisa wake wa usalama wamemnasa
daktari feki aliyekuwa akiwatapeli fedha wagonjwa na
Sunday, 23 February 2014
HAYA NDIO MANENO MAZITO YA ROBERT MUGABE KUHUSU KUSAHAULIKA KWA HARAKATI ZA MWALIMU JK NYERERE..
‘It’s time for Africa to salute liberator Nyerere’
Kuda Bwititi (The Sunday Mail; 23 February 2014)
Friday, 21 February 2014
Thursday, 20 February 2014
HILI NDILO JIBU DAVIDO BAADA YA UVUMI KUZAGAA KUA ANATOKA NA HUYU BINTI..
Baada ya
watu kuona picha (hapo juu) na kuzusha maneno kua Davido ana mahusiano na huyo binti(model) wa south Africa…
Davido amefunguka na kusema haya…
Monday, 17 February 2014
NEW AUDIO: JUMA NATURE feat LADY JAY DEE - KAMA JANA.. JE KAMDISI DIAMOND KWENYE HUU WIMBO??
Ni mastari
wa kujiuliza kama Juma Nature alikua anaamaanisha Diamond Platnumz au huenda alikua na maana nyingine kwenye huu
Mstari unaosema ‘Usiwe limbukeni wewe Dada Mondi, wakikuita mashabiki unakula
bundi’ Kukata kiuno sana kwani ndio ufundi?
DIAMOND PLATNUMZ SASA KUPIGA KAZI NYINGINE NA D' BANJ..SOMA HAPA..
pichani ni Diamond Platnumz na D' BANJ wakiwa studio ready kutengeneza muziki mpya...Diamond alipost hiyo picha na kuandika maneno haya hapa chini...
HIKI NDICHO WANAJESHI WALICHOMFANYA YOUNG KILLER...
Young killer
juzi kati amenyang’anywa pensi aliyokua amevaa…penzi hiyo yenye rangi za
kijeshi alivuliwa huko mwanza kipindi akipita karibu na kambi moja ya jeshi
huko jijini mwanza.. young killer alipost picha hii kisha kuandika maneno haya mtandaoni....
Sunday, 16 February 2014
NEW AUDIO: HOME BOYZ - NIWE NAWE.
Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Home Boyz...NIWE NAWE.. feel good music alive...
DOWNLOAD HAPA...
NEW AUDIO: RAMSOLEEN feat BLAZE - NJOO..
Download na sikiliza Ngoma mpya kabisa kutoka kwa RAMSOLEEN ft Blaze...Ngoma inaitwa NJOO..
DOWNLOAD HAPA CHINI...
HAWA NDIO MASTAA 3 WA NIGERIA WANAOISHI MAISHA YA JUU SANA..
There’s no question that being a
celebrity comes with a lot of fantastic perks. There’s fame, fortune, luxury
vacations, exotic cars, mansions, private jets if possible, yachts and just
generally getting special treatment everywhere you go.
Thursday, 13 February 2014
MANENO YA SAMUEL ETO'O KUHUSU EDEN HAZARD NA MDOGO WAKE KUNG'ARA CHELSEA..
London – Thorgan Hazard who is on-loan at Zulte Waregem from Chelsea will be playing Premier League next season and Samuel Eto’o already believes that along with his elder brother Eden, the two Belgians will shine at Stamford Bridge.
Tuesday, 11 February 2014
NEW AUDIO: BEN POL feat JOH MAKINI - UNANICHORA
Ile single iliyokuwa ikisubiriwa kwa ham , leo hii imedondoka kwenye maskio yako.Mkali wa R&B kipenzi cha akina dada, Ben pol leo hii ameachia mzigo wake mpya chini ya mkono wa producer Fundi Samweli "Unanichora" akiwa na Joh Makini..
PICHA: HUU NDIYO MUONEKANO MPYA WA NICKI MINAJ...
Hizi ndo picha zingine alizopost Nicki minaj..Tazama picha nyingine hapa.....