Sunday, 26 January 2014
HII NDO BARUA YA JUAN MATA KWA MASHABIKI WA CHELSEA..TAZAMA HAPA..
Hi
everyone, As you can imagine this is a very important day in my life, and with these lines I would like
Thursday, 16 January 2014
NEW AUDIO: LUI WA MBELE feat ZEEPY & TESSY - HAKUNA MATATA
Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa lui wa mbele ft zeepy & Tessy- Hakuna matata..
sikiliza na download hapa chini...
sikiliza na download hapa chini...
Monday, 13 January 2014
HII NDIO POST YA KWANZA YA MSANII JUX KUMHUSU JACKIE CLIFF...
Ni siku
kama tano zimepita toka ubalozi wa Tanzania nchini China usema hauna taarifa
zozote za kukamatwa kwa Mtanzania Jackie Cliff huko China na kwamba Watanzania
wa mwisho kukamatwa ilikua December 2013 na walikua Wanaume.
Saa kadhaa
zilizopita msanii Jux ambae amekua akitajwa kuwa mapenzini na Jackie, amepost
maelezo pamoja na picha ambayo inaonekana inaonekana ameongea na Jackie
Sunday, 12 January 2014
NEW AUDIO: KIBAJA feat R.O.M.A- AMSHA AMSHA..
Friday, 10 January 2014
PICHA :HUYU NDIYE MZEE AMBAYE HAJAWAHI KUOGA KWA MIAKA 60 SASA
Mzee AMOO HADJI kutoka iran ni mzee mwenye miaka 80
na hajawahi kuoga kwa miaka 60 sasa.. Nozi yake imekauka na ina mabaka yote kwa
sababu hiyo na kizuri ni kua mzee huyu hana ugonjwa wa ngozi ..Tazama picha za
mzee huyo hapa chini..
VIDEO: MAPENZI YA WEMA SEPETU NA DIAMOND SIO SIRI TENA.. WEMA AMEPOST VIDEO NA KUANDIKA MANENO HAYA..
Wema amepost hii video kwenye akaunti yake ya
Instagram na kuandika maneno haya,…
YAYA TOURE ASHINDA TENA TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA...
Kiungo wa Manchester City Yaya Toure raia wa Ivory
Coast ametawazwa kwa mwaka wa tatu mfululizo kuwa mwanasoka bora wa bara la
Afrika.
Thursday, 9 January 2014
PICHA : HUYU NDIYE JAMAA ANAYEHISI KUA YEYE NI MUNGU..
Meet 66-year-old Brazilian man Inri Cristo who
believes he is the reincarnation of Jesus Christ. Inri dresses like Jesus, says
his mission is to prepare the elect for the formation of the new earthly
society, which will strive to fulfill the Creator's will.
Monday, 6 January 2014
NEW VIDEO and AUDIO: DIAMOND PLATNUMZ feat DAVIDO - MY NUMBER 1 (remix)..
download na sikiliza ngoma mpya diamond platnumz..bonyeza read more kuisikiliza...
Sunday, 5 January 2014
ZITTO AWACHANA TENA CHADEMA... TAZAMA HAYA MANENO MAKALI KWENDA KWA TUNDU LISSU..
HII ndo kauli ya Zitto kabwe kwa Tundu Lissu..
Saturday, 4 January 2014
PICHA: MSANII MAHEEDA ABAKI MTUPU KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO YAKE MPYA...
Msanii maheeda ameonekana akishoot video ya wimbo
wake mpya ambao kuna baadhi ya scene zinamwonesha akiwa uchi.. Msanii huyo wa
Nigeria anashoot video ya wimbo wake unaoenda kwa jina la Niger bad gal..tazama
picha za utengenezaji wa video hapa chini…
Friday, 3 January 2014
MADEE AMEMNUNULIA BOSI WAKE HILI GARI...TAZAMA HAPA.....
madee amemnunulia bosi wake ili gari katika siku ya kuzaliwa kwakena kisha aliambatanisha na maneno haya "Happy be day my boss @babutale @mkubwafella @dicksound1 @tundamancaptain na hiii ndo ile zawad nliyokuaidi nenda kwako utaikuta#brash#brash# @bdoz"
tazama picha za gari hapa chini......
HII NDIYO MPYA KUTOKA KWA DR. JOSE CHAMELEONE NA DAVIDO...
Chameleone anatarajia kufanya makubwa haya mwaka huu..Tazama hapa chini...
Thursday, 2 January 2014
VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ feat DAVIDO - MY NUMBER 1 REMIX (KIONJO)
Hiki ndiyo sehemu ndogo ya remix ya video ya Diamond
platnumz aliyomshirikisha DAVIDO kutoka Nigeria..itazame hapa chini…
RAY C AONGEA MANENO HAYA MAKALI KUMHUSU JACKIE CLIFF...
Ni siku
kadhaa zimepita toka taarifa itoke kwenye mitandao kadhaa ya nchini China
kuhusu binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 akamatwe na dawa za kulevya
zenye thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani laki moja huko Macao China ambapo
vyombo kadhaa vya Tanzania vimeripoti kwamba binti huyo anadaiwa kuwa Jackie
Cliff ambae amewahi kuonekana kwenye video kadhaa za wasanii wa Kitanzania.
Kifuatacho
ni kilichoandikwa na RayC, mwimbaji wa Kitanzania ambae katika stori zake kubwa
za maisha ni pamoja na kuingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya uliompoteza
kabisa kwenye muziki na ramani ya maisha mpaka kufilisika.
PICHA ZIKIMUONYESHA MH TEMBA KIPINDI YUKO JESHINI..TAZAMA HAPA..
MH; Temba amepost picha hii hapa chini na kuandika maneno haya hapa chini...
Wednesday, 1 January 2014
MATAPELI WAIBUKA UPYA..SASA WAMTUMIA ZITTO KABWE NA KHADIJA KOPPA KUWAPOTOSHA WATU..
Leo katika akaunti yake ya facebook
, Mh: ZITTO kabwe ameandika ujumbe na kuweka picha jinsi matapeli walivyokuja
na njia mpya ya kuwaibia watu kupitia majina ya watu maarufu…MH: Zitto kabwe
alianika maneno haya
“