Baada ya Team wema kuanzisha movement iliyokua na jina #bringbackourwema ikiwa inamshutumu Diamond platnumz kua anampoteza wema..Diamond Platnumz aamua kujibu...Tazama Hapa..
Thursday, 14 August 2014
Monday, 4 August 2014
NEW AUDIO: KIBAJA MGOSI - NAWAKAZIA
Baada ya kutoka na Ngoma "Amsha Amsha" sasa msanii kutoka Tanga "Kibaja" amekuja na hii hapa..Download na.kusiliza hapa.chini..
Thursday, 31 July 2014
MSIKILIZE DIAMOND PLATNUMZ AKIRAP KWENYE BIT YA "SHOW ME" YA KID INK FT CHRIS BROWN..
Diamond platnumz kabla ya kuanza kuimba alikua anafanya muziki kwa njia ya Kurap...Diamond amethibitisha kua ana uwezo wa kurap hadi sasa..msikilize hapo chini anavyoshuka kwenye bit ya wimbo Kid ink ft Chris Brown..
Tuesday, 29 July 2014
HIZI NDIO IDADI YA TUNZO ALIZOWAHI KUPATA LADY JAYDEE TOKA AANZE MUZIKI...
Judith wambura a.k.a Lady jay dee ni msanii mkongwe nchini tanzania ambapo yapata miaka zaid ya 10 toka aanze kujihusisha na muziki...
Monday, 28 July 2014
HUSSEIN MACHOZI ASHINDWA KUFUNGUKA ISHU YA KUFUKUZWA KENYA KWA TUHUMA ZA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU
Mitandao mbalimbali ya nchini Kenya weekend hii zimeandika stori ya kusikitisha kuhusiana na msanii wa Bongo Flava anayeishi nchini humo,Hussein Machozi
Sunday, 27 July 2014
HAWA NDIO BAADHI YA WASHINDI WA TUZO ZA AFRIMMA....
Zinaitwa African Muzik Magazine Awards ambapo za mwaka huu 2014 zimetolewa huko Eisemann center Texas Marekani na
Friday, 25 July 2014
GAZA : ISRAEL NA HAMAS WASITISHA VITA..
Serikali ya Israel na wapiganaji wa Hamas wamekubaliana kusitisha vita kwa masaa 12 katika eneo la Gaza kutokana na maswala ya kibinidaamu kuanzia leo asubuhi.
LULU MICHAEL ATOA USHAURI KWA WASANII NA MASHABIKI BAADA YA KUSIKILIZA WIMBO MPYA WA ALI KIBA...
Mwanadada muigizaji Elizabeth Michael ametoa ushauri huu kwa wasanii pamoja na mashabiki wao baada ya kusikia wimbo mpya wa Ali kiba- mwana Dar.... Lulu aliandika hivi kwenye akaunti yake ya instagram...
Thursday, 24 July 2014
MWANAMKE ALIYEHUKUMIWA KIFO NA BADAE KUNUSURIKA AKUTANA NA PAPA...
Mwanamke raia wa Sudan aliyesamehewa adhabu ya kifo baada ya kubadili dini amesafirishwa hadi nchini Italia baada ya
KIJANA HUYU AKUTWA NA MENO 232..ANG'OLEWA KWA KUTUMIA NYUNDO..
Madaktari nchini India wametumia saa 7 kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai mwenye umri wa miaka 17
HIZI NDO IDADI YA JEZI ALIZOUZA JAMES RODRIGUEZ NDANI YA SAA MOJA
Muda mfupi baada ya kujiunga na Real Madrid kwa ada ya uhamisho wa paundi millioni 63, mchezaji wa Colombia James